


Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Polepole akizungumza na wanahabari leo Jijini Dar es salaam ameeleza kuwa mchakato wa kuwapata wagombea ubunge wa EALA Kamati Kuu imezingatia Uadilifu, Uaminifu, Uzalendo, Uchapakazi, Maarifa ya mgombea na kuiishi Imani ya mwanachama wa CCM
No comments:
Write comments