BAADA ya
watu kumuandama mitandaoni kuwa anatumia ‘makalio ya dukani’ kuongeza
muonekano mzuri wa mwili wake, muigizaji wa sinema za Kibongo, Aunt
Ezekiel, ameibuka na kusema aachwe kwani kama anatumia ni yeye.
Alisema
wanaomkosoa hivyo hawana hoja kwani vitu hivyo vimewekwa kwa ajili yao
madukani ndiyo maana vinauzwa hivyo hajali wanaomkosoa.
“Niwe
natumia makalio sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel, ya kujaladia, niwe
situmii, ni mimi. Waniache, kwani nikitumia kuna tatizo? Kwani madukani
yamewekewa kina nani?,” alisema Aunt alipozungumza na mwanahabari wetu
kuhusiana na suala hilo
Sunday, 26 February 2017
Ishu ya Kujaladia Makalio (ya bandia) Yamtoa Povu Aunti Ezekiel
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Write comments