
Nyosso
amerejea kwenye soka la ushindani baada ya kufungiwa miaka miwili na
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) alipokuwa akiichezea Mbeya City.
Nyosso
aliyewahi kutamba na Simba, amesema kuwa amerejea na nguvu mpya
uwanjani akitoka kwenye kifungo ambapo amejipanga kuonyesha uwezo mkubwa
ambao utaisaidia timu yake.
“Napenda
niwaambie watu kwamba nimerejea tena katika soka na nimekuwa mpya
tofauti na yule wa awali ambapo sasa nimekuja na nguvu mpya ya
kuipambania timu yangu ifanye vizuri.
No comments:
Write comments