Roberto Carlos akiwa na mkewe, Mariana baada ya kujifungua mtoto wa pili
kwenye mahusiano yao mwishoni mwa wiki waliyempa jina Marina. Huyo
anakuwa mtoto wa tisa beki huyo wa zamani wa kimataifa wa Brazil na
klabu ya Real Madrid, kwani amezaa watoto saba na wanawake wengine kabla
ya Mariana.
SIMBA WAZITAJA SABABU ZA KUWAACHA NYOTA WAO WAKIWEMO WAKIGENI BONYEZA HAPA KUJIONEA MWENYEWE:-
SIMBA WATAJA SABABU ZA KUWAACHA NYOTA WAO.
No comments:
Write comments