Imeelezwa aliyemhonga ni mwanaume wake anayemuweka mjini kwa sasa.
Rafiki wa karibu na mwanamuziki huyo aliiambia Mikito Nusunusu kuwa Lulu Diva tangu apate misukosuko hiyo mpenzi wake amekuwa naye karibu sana kiasi ambacho ameamua kumhonga ndinga hilo la bei mbaya ambalo ndilo analotamba nalo mitaani huku akiwa hana kadi ya gari hilo.
“Unajua Lulu tangu apate misukosuko mpenzi wake ameongeza mapenzi zaidi hata hilo gari alilomhonga ni kwa ajili ya kumfanya ajisikie vizuri na kusahau kama alipata shida hiyo kubwa lakini bado kuna utata kwenye kadi ya gari,” alisema rafi ki huyo.
No comments:
Write comments