Sudan
kusini iko hatarini kuingia kwenye mauaji ya kimbari.Ripoti hii ni
matokeo ya uchunguzi wa miezi saba kuhusu masuala ya haki za binadamu
nchini humo.Kumekuwepo na shutuma za ukiukwaji wa haki za kibinadamu
zinazotekelezwa na wanajeshi wa pande zote mbili kwa kufanya vitendo vya
mauaji, ubakaji na uporaji.
Wakati ,Umoja wa mataifa umeonya hatari ya kutokea mauaji ya kimbari ,Brigedia jenerali Chol Deng Chol amekanusha shutuma hizo.
''hakuna
vitendo vya mauaji au ubakaji, na kama kuna mwanajeshi anafanya hivyo
napaswa kumkamata haraka sana, tunaopambana nao ni waasi hapo ndipo
mauaji hutokea, wanaonusurika hudai kuwa raia wanauawa na wanajeshi,
lakini hatuwaui raia wetu nchini mwetu'
Wednesday, 8 March 2017
UN:NCHI YA SUDAN KUSINI IKO HATARINI KUINGIA KWENYE MAUAJI YA KIMBARI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Write comments