Friday, 24 February 2017

WEMA SEPETU ALIVYOTANGAZA RASMI KUHAMIA CHADEMA

Mwigizaji wa Tanzania Wema Sepetu leo February 24 2017 amewaita Waandishi wa habari nyumbani kwa mama yake Dar es salaam na kutangaza maamuzi ya kuhama Chama cha Mapinduzi CCM na kuhamia CHADEMA

No comments:
Write comments