Mbunge
wa zamani wa Moshi Mjini (Chadema) Philemon Ndesamburo amefariki dunia
ghafla leo, wakati akipata matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya KCMC,
Moshi.
Katibu
wa Chadema, Mkoa wa Kilimanjaro, Basil Lema amethibitisha kifo hicho na
kueleza kuwa wataendelea kutoa taarifa zaidi juu ya kifo cha mwanasiasa
huyo mkongwe.
Taarifa zaidi kuhusu kifo cha Ndesamburo zitaendelea kukujia.
No comments:
Write comments