Beki
wa kushoto wa Azam, Gadiel Michael ambaye imeelezwa ameamua kuondoka,
anaamini Yanga ndiyo sehemu sahihi ya yeye kuonyesha uwezo wake zaidi.
Tayari taarifa zinaeleza, Gadiel amesaini mkataba wa miaka miwili kuichezea Yanga.
“Yanga ni sehemu sahihi kwangu kwa maana ya ushindani na kukuza zaidi kiwango changu,” alisema.
BONYEZA HAPA KWA HABARI HIISINGANO AULA AFUATA NYAYO ZA MBWANA SAMATTA
No comments:
Write comments