Steve kakanusha kuhusika na uigizaji wa sauti za mtongozo zilizovuma
baina ya watu wanaodaiwa kuwa ni Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na
mrembo Wema Sepetu wa Bongo Movie..Steve Nyerere
“Kwanza mimi toka nimeanza kuigiza sauti sijawahi kuigiza sauti za viongozi wa chama fulani, Pili, kutongoza napo sio dhambi, ni sunna (akimaanisha ni jambo jema tu kwa mwanaume yoyote kulifanya).
Tatu, sio kila kitu ambacho kimefanywa na familia fulani basi Steve anahusika.
Limenikera na kuniumiza sana. Pia sio kwa Kingereza kile cha
kubembeleza vile, nina uwezo huo? Na pia sio mimi peke yangu ninayeweza
kuigiza sauti za watu, waigizaji wapo wengi.” alinukuliwa akisema Steve Nyerere.
Thursday, 8 June 2017
SASA MAMBO YAKO WAZI STEVE NYERERE AFUNGUKA ISHU YA SAUTI ZA MBOWE NA WEMA,MAJIBU HAYA HAPA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Write comments