Msanii
wa muziki Harmorapa ameachia wimbo wake mpya Kiboko ya Mabishoo akiwa
amemshirikisha Juma Nature. Wimbo umeandaliwa na producer T Touchez.
Katika
kazi hiyo ambayo tayari imeanza kusambaa kwenye mitandao ya kijamii,
Harmorapa amewachana baadhi ya mastaa akiwemo dansa Mose Iyobo, na watu
wengine ambao wamekuwa wakim-‘diss’ kuwa hajui muziki na kusema yeye
hajali maneno yao machafu kwani yeye amekuja kutafuta pesa
No comments:
Write comments