Mwezi uliopita, Mtandao wa RadarOnlineuliripoti kuwa mwanamama huyo mwenye watoto wawili, North na Saint aliyezaa na mkali wa Hip Hop, Kanye West ameamua kufanya upasuaji wa kuyapunguza makalio yake alipokuwa katika ziara ya kifamilia huko Costa Rica.
Kwa habari za sasa, Kim ameamua kuyarudisha upya makalio yake na haijawekwa wazi sababu iliyomfanya kuchukua uamuzi huo ndani ya mwezi mmoja.
No comments:
Write comments