Sunday, 2 April 2017

Shilole awachana wanaume marioo


"Mwanaume kuwa Mario ni kumtia aibu mama yako mzazi, na dada yako. Nawashauri vijana marioo mkafanye kazi mpate pesa, hata kushona viatu ni kazi mkafanye kazi siyo kutegemea wanawake tu" Shilole

No comments:
Write comments