Profesa Ibrahim Lipumba amesema aliamua kurudi CUF kwa sababu ya
sintofahamu iliyokuwapo kwenye Umoja wa Katiba ya Wananchi(Ukawa) baada
ya kumtangaza Edward Lowassa kuwa mgombea urais wa chama hicho.
Profesa Lipumba amesema hayo leo asubuhi wakati akihojiwa na Televisheni ya Clouds katika kipindi cha 360.
No comments:
Write comments