TIMU ZOTE 20 za EPL, Ligi Kuu England, zipo
dimbani Jumamosi na Jumapili na kisha Ligi hiyo kusimama hadi Aprili 1
kupisha Mechi za Kimataifa ambazo zipo Kalenda ya FIFA.
Mechi
ya Awali kabisa Jumamosi ni huko The Hawthorns ambako West Bromwich
Albion wataikaribisha Arsenal na kisha kufuata Mechi 5 za Saa 12 Jioni
na miongoni mwake ni Stoke City kuwakaribisha Vinara Chelsea na Mabingwa
Leicester City kuwa Wageni wa West Ham United huko London Stadium.
Mechi ya mwisho Jumamosi ni kati ya Bournemouth na Swansea City.
Jumapili
zipo Mechi 3 ambako huko Riverside, Middlesbrough, baada ya Alhamisi
kumtimua Swahiba mkubwa wa Jose Mourinho, Meneja Karanka, watamkaribisha
Mourinho na Timu yake Man United.
Kisha itafuata Mechi ya huko Jijini London Uwanjani White Hart Lane kati ya Tottenham Hotspur na Southampton.
Mechi ya mwisho Siku hiyo ya Jumapili ni mtanange mkali huko Etihad kati ya Man City na Liverpool.
EPL – Ligi Kuu England
Ratiba:
Jumamosi Machi 18
1530 West Bromwich Albion v Arsenal
1800 Crystal Palace v Watford
1800 Everton v Hull City
1800 Stoke City v Chelsea
1800 Sunderland v Burnley
1800 West Ham United v Leicester City
2030 Bournemouth v Swansea City
Jumapili Machi 19
1500 Middlesbrough v Manchester United
1715 Tottenham Hotspur v Southampton
1930 Manchester City v Liverpool
***EPL KUSIMAMA KUPISHA MECHI ZA KIMATAIFA
Jumamosi Aprili 1
1430 Liverpool v Everton
1700 Burnley v Tottenham Hotspur
1700 Chelsea v Crystal Palace
1700 Hull City v West Ham United
1700 Leicester City v Stoke City
1700 Manchester United v West Bromwich Albion
1700 Watford v Sunderland
1930 Southampton v Bournemouth
Jumapili Aprili 2
1530 Swansea City v Middlesbrough
1800 Arsenal v Manchester City
Jumanne Aprili 4
2145 Burnley v Stoke City
2145 Leicester City v Sunderland
2145 Watford v West Bromwich Albion
2200 Manchester United v Everton
Jumatano Aprili 5
2145 Arsenal v West Ham United
2145 Hull City v Middlesbrough
2145 Southampton v Crystal Palace
2145 Swansea City v Tottenham Hotspur
2200 Chelsea v Manchester City
2200 Liverpool v Bournemouth
Jumamosi Aprili 8
1430 Tottenham Hotspur v Watford
1700 Manchester City v Hull City
1700 Middlesbrough v Burnley
1700 Stoke City v Liverpool
1700 West Bromwich Albion v Southampton
1700 West Ham United v Swansea City
1930 Bournemouth v Chelsea
Jumapili Aprili 9
1530 Sunderland v Manchester United
1800 Everton v Leicester City
Jumatatu Aprili 10
2200 Crystal Palace v Arsenal
Saturday, 18 March 2017
EPL YAENDELEA WIKIEND HII VIJANA WA CONTE WASAKA POINT 3 MUHIMU BRITANIA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Write comments