Sunday, 19 March 2017

Gwajima Kuwafungukia Watangazaji wa Clouds TV leo

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Mchungaji Gwajima Ameandika Haya:

From @bishopgwajima - Nitatoa ufafanuzi wa wazi juu ya taarifa zinazosambazwa mtandaoni na baadhi ya watangazaji wa Clouds TV. Nitakuwa LIVE kwenye YouTube kuanzia saa nne na nusu asubuhi ya leo. Link ya channel ipo kwenye Bio yangu unaweza kusubscribe ili ujulishwe Mara niingiapo hewani. Mungu akubariki

No comments:
Write comments