"Huku Sudan Kusini ikiingia kipindi kipya cha ujenzi wa taifa, tumeamu
kusitisha jitihada za ujenzi ambao jeshi letu lilikuwa likitekeleza
mjini Juba," bwana Abe alinukuliwa na shirika la hari la Kyodo.
Katibu wa mawaziri Yoshihide Suga, baadaye alisisitiza kuwa kuondolewa
huku hakutokani na sababu ya kuzorota kwa usalama maeneo wanajeshi hao
walikuwa wakifanya kazi.
Wanajeshi hao wa Japan waliowasili nchini Sudan Kusini mwezi Novemba
mwaka 2016, ndio wa kwanza katika kipindi cha karibu miaka 70 kutumwa
nje ya nchi, wakiwa na agizo la kutumia nguvu ikiwa itahitajika.
Sudan kusini iliyojitenga kutoka Sudan mwaka 2011, imekumbwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe tangu mwaka 2013
Friday 10 March 2017
JAPAN YAONDOA MAJESHI YAKE SUDAN KUSINI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Write comments