Monday 20 March 2017

ZIMWI LAENDELEA KUITAFUNA CCM,...VIGOGO WAWILI(CCM) WAJIUZULU NA KUANDIKA BARUA ZENYE UJUMBE MZITO KWA SERIKALI YA JPM



Mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya Viwanda na Biashara Dk Dalali Kafumu na makamu wa kamati hiyo Vick Kamata, kwa pamoja wamejiuzulu nafasi zao.
Viongozi hao wameeleza sababu za kuchukua hatua hiyo kuwa ni serikali kuingilia majukumu yao katika utendaji kazi na hivyo wakaeleza kuwa hawaoni sababu za kuendelea na majukumu hayo.
Wamekabidhi barua za kujiuzulu kwenye ofisi ya spika wa bunge jana.

No comments:
Write comments