Monday 27 March 2017

Nay wa Mitego Ahamishiwa kwa Kamanda Sirro



Rapper Nay wa Mitego amehamishiwa katika kituo cha kati cha polisi jijini Dar es Salaam kutoka Mvomero, Morogoro alikokuwa ameshikiliwa na polisi kuanzia asubuhi ya Jumapili, March 26.

Taarifa hiyo imetolewa na mwanasheria maaarufu nchini, Peter Kibatala.



No comments:
Write comments