Wednesday 12 April 2017

BREAKING NEWS: Askofu Gwajima aachiwa huru na Mahakama.





Mahakama ya Hakimu Mkaazi Kisutu Jijini Dar es salaam, imeamuchia huru Mchungaji wa kanisa LA Ufufuo na Uzima Askofu Josephat Gwajima kufuatia kosa la Kutoa Lugha ya Matusi Dhidi  ya  Muadhama  Polycap Kardinal Pengo mnamo mwaka 2015.

Chini ya  Hakimu mfawidhi Cyprian Mkeha Mahakama imeamuchia Askofu Gwajima kwa mujibu wa kifungu cha sheria ya 225 ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai

No comments:
Write comments