Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Magufuli
leo ataweka jiwe la msingi kwenye uzinduzi wa ujenzi reli ya umeme na ya
kisasa, Standard Gauge itokayo Dar es Salaam hadi Morogoro.
Treni hiyo itakuwa na spidi ya kilomita 160 kwa saa. Uzinduzi huo unafanyika kwenye stesheni ya Pugu jijini Dar es Salaam
Tuesday, 11 April 2017
Rais Magufuli leo kufanya uzinduzi wa ujenzi wa reli ya umeme ‘Dar mpaka Moro’
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Write comments