Habari Picha Na
Nickson Sawe
Ajali hiyo ilihusisha gari aina ya coaster lililopata ajali asubuhi ya leo limeua watoto karibu wote waliokuwa wanaelekea
mjini Karatu kwa ziara ya kimasomo including(joint examinations),
taarifa zinasema wamebaki watoto(3) tu wengine wamefariki,
shule inaitwa Lucky Vincent Nursery & Primary School ipo Arusha ni medium schools.
Ajali imetokea eneo la mlima marera kijiji cha rhotia,km chache sana kutoka Karatu mjini,mlima huo una mteremko mkali na daraja na pia kulikuwa na ukungu
No comments:
Write comments