Beki Abdi Banda ametembelea kambi ya Simba jijini Johannesburg, Afrika Kusini.
Banda ameondoka Simba na kujiunga Baroka FC ya Ligi Kuu Afrika Kusini.
Lakini leo Banda ametua
mazoezini walipo wachezaji wa Simba na kupata nafasi ya kuzungumza na
makocha pamoja na wachezaji ikiwa ni pamoja na kuwaaga baadhi yao.
No comments:
Write comments