Kaseke amesajiliwa Singida baada ya mkataba wake kumalizika kisha kutoafikia katika makubaliano kati yake na Yanga ambapo suala la kimaslahi linadaiwa kuwa ndiyo chanzo cha kutosaini mkataba mpya wa kuendelea kuichezea timu hiyo.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Haji Manara ameweka picha ya Katibu wa Baraza la Wazee wa Yanga, Ibrahim Akilimali akiwa anakula, kisha akaandika hivi:
“Mhenga aliyesema mtegemea cha ndugu hufa maskini, kweli yametimia, Kaseke kashindwa kuvumilia swaumu, inaitwa NDI NDI NDI.”
Baada ya kuandika hivyo, Kaseka akawa tag Kaseke mwenyewe, Lady Dee, Mrisho Ngassa na Juma Kaseja.
KAMA ULIKOSA KUSHUHUDIA PAMBANO KATI YA EVARTON NA GENK TIZAMA HAPA UONE MAGOLI YA TIMU ZOTE MBILI UONE JINSI SAMATA ALIVOTUPIA HAPO JANA BONYEZA HAPA CHINI
No comments:
Write comments