Sunday, 30 July 2017

KWISHA!!! ULE USAJILI ULIOKUA UNANGOJEWA KWA HAMU UMEKAMILIKA YANGA YAMNASA KIUNGO FUNDI WA STARS MRISI WA NIONZIMA




Ule usajili uliokuwa unasubiriwa kwa hamu wa Yanga, umekamilika.

Sasa imemsajili kiungo Raphael Daud kwa mkataba wa miaka miwili.


Kiungo amejiunga tayari na kambi ya Yanga mjini Morogoro na kesho rasmi ataanza mazoezi.

No comments:
Write comments