Monday 10 July 2017

MCHEZAJI NYOTA WA REAL MADRID APATA MTOTO WA TISA

Roberto Carlos akiwa na mkewe, Mariana baada ya kujifungua mtoto wa pili kwenye mahusiano yao mwishoni mwa wiki waliyempa jina Marina. Huyo anakuwa mtoto wa tisa beki huyo wa zamani wa kimataifa wa Brazil na klabu ya Real Madrid, kwani amezaa watoto saba na wanawake wengine kabla ya Mariana.

SIMBA WAZITAJA SABABU ZA KUWAACHA NYOTA WAO WAKIWEMO WAKIGENI BONYEZA HAPA KUJIONEA MWENYEWE:-SIMBA WATAJA SABABU ZA KUWAACHA NYOTA WAO.

No comments:
Write comments