Baada ya kumsajili Kiggi Makasi, Singida United rasmi imefunga usajili na kifuatacho ndiyo kikosi chake kamili.
Tulishamaliza kufunga Ukurasa wa wachezaji wanje(7players).
1.Elisha Muroiwa(Zimbabwe)
2.Twafadzwa Kutinyu (Zimbabwe)
3.Simbarashe Nhivi (Zimbabwe)
4.Wisdom Mtasa (Zimbabwe)
5.Shafik Batambuze(Uganda)
6.Dany Usengimana( Rwanda)
7.Michel Rusheshangoga(Rwanda)
Leo tumemaliza kusajili wachezaji wa ndani(9 players).
1.Atupele Green (Jk Ruvu)
2.Miraj Adam (Africa Lyion)
3.Kenny Ally (Mbeya City)
4.Roland Msonjo(Mshikamano Fc)
5.Pastory Athans (Simba)
7.Deus Kaseke(Yanga)
8.Ally Mustapha (Yanga)
9.Kigi Makasi (Ndanda Fc).
Kwa taarifa yako, Kwa sasa Singida United ina jumla ya wachezaji 25.
Wachezaji 16 wamesajiliwa kutoka timu mbalimbali.
Wachezaji 9 ni wale waliosalia baada ya timu kupanda kucheza Ligi Kuu Tanzania bara msimu wa 2017/2018.
Tunawashukuru
vilabu mbalimbali ambao tulifikia makubaliano nao na wamewachukua
baadhi ya wachezaji wetu walioipandisha timu, na baadhi ya wachezaji
waliomba kuondoka kwa ridhaa yao
No comments:
Write comments