Simba imejipanga kufanya biashara kubwa ya jezi za wachezaji wawili wa kimataifa nao ni Emmanuel Okwi na Haruna Niyonzima.
Niyonzima raia wa Rwanda na Okwi kutoka Uganda wameishamalizana na Simba na wanachosubiri ni kuanza kazi tu.
“Jezi zao zitauzwa sawa na wengine lakini ni lazima kufanya oda kubwa ya jezi zao,” kilieleza chanzo.
Wachezaji
hao watatambulishwa rasmi katika tamasha la Simba Day. Tayari
maandalizi ya msimu mpya yameanza na Simba iko Afrika Kusini.
BONYEZA HAPA CHINI KUSOMA TAARIFA ALIYOTOA LISSU YA LOWASA KUFIKISHWA MAHAKAMANI
TUNDU LISSU:LOWASA ATAPELEKWA MAHAKAMANI NA KUSHITAKIWA
BONYEZA HAPA CHINI KUSOMA TAARIFA ALIYOTOA LISSU YA LOWASA KUFIKISHWA MAHAKAMANI
TUNDU LISSU:LOWASA ATAPELEKWA MAHAKAMANI NA KUSHITAKIWA
No comments:
Write comments