Msanii Hamorapa ameungana na Mamia ya wakazi wa Jiji la Dar es Salaam,
leo wameshiriki katika ibada ya kumuaga mke wa Dk Harrison Mwakyembe,
Linah Mwakyembe.
Pamoja na Mkapa, viongozi kadhaa wa Serikali akiwamo Jaji Kiongozi,
Katibu Mkuu Kiongozi, mawaziri, wake wa viongozi wastaafu, wake wa
mawaziri, wanasiasa na wasanii wameshiriki ibada iliyofanyika katika
kanisa la KKT Kunduchi jijini Dar es salaam ikiwa ni maandalizi ya
kuusafirisha mwili huo kuelekea mkoani Mbeya kwaajili ya mazishi.
TAZAMA FULL VIDEO HAPO CHINI
BONYEZA HAPA CHINI KUJIONEA MWENYEWE ALICHOKIONGELEA JERRY MURO SIKU CHACHE BAADA YA KUACHWA NA WAAJIRI WAKE WA ZAMANI YANGA
No comments:
Write comments