Wednesday 29 March 2017

Majina 12 ya walioteuliwa na CCM kugombea ubunge Afrika Mashariki


CCM imepeleka bungeniI majina ya wagombea 12 wa ubunge wa EALA. Wabunge watapiga kura kuchagua wabunge 6 ambapo 3 ni wanaume na 3 wanawake.


Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Polepole akizungumza na wanahabari leo Jijini Dar es salaam ameeleza kuwa mchakato wa kuwapata wagombea ubunge wa EALA Kamati Kuu imezingatia Uadilifu, Uaminifu, Uzalendo, Uchapakazi, Maarifa ya mgombea na kuiishi Imani ya mwanachama wa CCM

No comments:
Write comments