Afisa
Habari wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Tumaini Makene,
amethibitisha kupitia ukurasa wake wa Twitter kuhusu majina
yaliyopitishwa na kamati kuu ya chama hicho kuwa wagombea ubunge
uchaguzi wa Bunge la Afrika Mashariki.
Wagombea hao ni pamoja na Mbunge wa zamani Ezekia Wenje na Lawrence
Masha aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani enzi za utawala wa Dk.
Kikwete.
No comments:
Write comments