Sunday, 4 June 2017

CCM WAMNG'OA KIGOGO WA UPINZANI



Baada ya uteuzi wa Rais Magufuli, Kwamujibu wa Wachambuzi wa masuala ya kisiasa, Mkuu wa mkoa ni lazima awe kada wa chama cha mapinduzi na atakuwa pia mwenyekiti wa kamati ya siasa ya mkoa na mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa yenye kazi ya msingi ya kulinda 'usalama wa CCM'
Isome hapo chini Tarifa yake ya Uteuzi 

No comments:
Write comments