DK MWAKYEMBE AFIWA NA MKEWE
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe amepata pigo baada ya kumpoteza mkewe.
Msiba huo mkubwa umetokea usiku wa kuamkia leo na msiba upo nyumbani kwa Dk Mwakyembe eneo la Kunduchi jijini Dar es Salaam.
No comments:
Write comments